Ni mifuko ya aina gani iliyokatazwa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Flora Jumanne
Serikali yetu imepiga marufuku mifuko ya plastiki ikiwa ni juhudi za kulinda mazingira yetu kwa faida yetu n kizazi kijacho.
Mifuko iliyokatazwa ni ile inayowekwa katika kundi la vibebeo(inayotumika kubebea bidhaa). Aina nyingine ya mifuko inayoweza kuwekwa katika kundi la vifungashio inaruhusiwa kuendeea kutumia kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira pia.
Kusoma tofauti ya vibebeo na vifungashio unaweza soma hii HAPA