Ni masharti na vigezo gani vya kujiunga na mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Masharti ya kujiunga
(a) ACCOUNTING TECHNICIAN
(i) Mitihani ya Accounting Technicia Level 1
Mtahiniwa mtarajiwa nayebakia kujisajili kwa ajili ya mitihani ya accounting technician Level 1 ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na moja wapo ya sifa zifuatazo:
1. Cheti cha mtihani wa elimu ya Sekondari (CSEE) chenye angalau ufaulu wa crediti tatu na kufaulu Hisabati na Lugha ya Kiingereza
AU
2. Mitihani ya Taifa ya Biashara NABE stage ii na angalau ufaulu wa masomo manne na cheti cha elimu ya Sekondari
AU
3. Advanced Certificate of Secondari Education Examination (ACSEE) yenye angalau ufaulu wa primary katika somo moja na subsidiary katika masomo yanayohusika, lakini ni lazima wafaulu angalau katika Kiingereza na Hisabati, O-Level Secondary Education,
AU
4. Cheti cha mwaka mmoja kutoka taasisi inayotambulika na ufaulu wa Kiingereza na hisabati “O” level kabla ya kupata cheti hicho.
5. Na vyeti vingine kama vitakavyotambuliwa na Bodi kila baada ya muda
ii) Mitihani ya Accounting Technician II
Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya Accounting Techinician ni lazima aoneshe, uthibitisho wa kuwa na moja wapo ya sifa zifuatazo
b) PROFESSIONAL EXAMINATIONS
Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya PROFESSIONAL ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na mojawapo ya sifa zifuatazo:
(I) Foundation Level – Knowledge and Skills Level
Misamaha inaweza kufikiriwa somo kwa somo kutegemea masomo ya mtahiniwa.
(II) Intermediate Level – skills and Analysis
(III) Final – Level – Analysis, Application na Evaluation
1.Mwenye Taarifa ya ufaulu ya NBAA Intermediate Level