Ni kozi gani nzuri unayoweza kujiajiri?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kwani kati ya mahindi na maharage kipi unaweza ukalima na ukapata faida zaidi ukiuza?
Chochote kati ya hivyo ukikifanyia kazi vizuri ukifuata taratibu nzuri za kilimo utapata mazao bora yatakayokua na soko zuri japo ni mazao ya chakula.
Kupata faida zaidi itategemea interest yako motivation uliyonayo na juhudi utakazoweka kwa kile ulichokichagua.
Vivyo hivyo ukisoma kozi mojawapo vizuri ukazingatia content unayoipata kwa vitendo badae utaweza kufanya chochote kuhusu iyo kozi.
Ukichagua kitu unachokipenda itakua rahisi zaidi kuwa motivated katika kusoma na kujiongeza.
Mimi nikikwambia chagua kozi fulani, itakuwa ni kwa utashi wangu sio wako na mimi ndo itanisaidia na sio lazima iwe hivyo pia kwako.
Chagua mwenyewe, mwisho wa siku utakua mwenyewe.
Wish you all the best.