Ni hatua gani za kufuata wakati wa kufanya mapenzi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Jose Mandingo
Kuna hatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo.
Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!
Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanja wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe!
MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:
Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc.
Sehemu ya chini:
Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi anataka kuingiliwa mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na ili kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.
Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili!
Nini mwanaume anapaswa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze kudumu kunako majambozi!!
Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake.
Hatua ya tatu:Kuingiliana kimwili
Mwanaume anapaswa kuahakikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu!