Ni game gani zuri la mpira kwenye simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Kama unatumia simu ya Android na ni mpenzi wa mpira nadhani utaumia sana kugundua haukua ukicheza games bora kabisa za mpira zinazoweza kupatikana katika simu yako buree kabisa.
Dream League Soccer 2019
Ili ndio gemu bora zaidi la mpira lenye graphics nzuri na mb chache, lina wachezaji wanao exist kweli huko duniani na lina features nyingine nyingi kama kucheza online na kucheza na mtu mwingine moja kwa moja.
Fifa Soccer
Kwa wale wanaofahamu kampuni ya EA iliyotengeneza magemu mengine makubwa wengi hakika watakua wanaelewa kazi yao. Gemu hili lina features kibao kama Kucheza online, kumchezesha mchezaji mmoja na nadhani lina wachezaji wengi kuliko gemu lingine lolote.
Game zuri la mpira kwenye simu za android ni game la Dream leagure soccer Apk file 2019 linalopatikana app store na goggle play