Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 32362
In Process
Adv
Anonymous
Asked: June 14, 20192019-06-14T12:42:35+03:00 2019-06-14T12:42:35+03:00Maana za Maneno, Ukristo

Neema ni nini?

Neema ni nini?
  • 1
  • 551
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Emmanuel Magessa

    Emmanuel Magessa

    • Mbeya, Tanzania
    • 1 Question
    • 30 Answers
    • 0 Best Answers
    • 58 Points
    View Profile
    Emmanuel Magessa Intermediate
    2021-03-31T21:41:30+03:00Jibu - March 31, 2021 saa 9:41 pm

    Katika Biblia Agano Jipya neno “Neema” limetokana na maneno mawili ya Kigiriki ambayo yametafsiriwa kama neema. Neno la kwanza ni “Charis” (khar’-ece) lenye maana ya upendeleo, wema, uwezesho; na neno hili limejitokeza katika Biblia katika Agano Jipya mara 157. Kutokana na neno hili la kwanza tunaweza kusema kuwa neema ni upendeleo na wema wa Mungu kwa mwanadamu ambao umekuja kwa njia ya Yesu Kristo.

    Neno la pili la Kigiriki lililotafsiriwa kama neema katika Agano Jipya ni “Charisma” (khar’-is-mah) lenye maana ya karama au kipawa cha neema kinachotolewa bure, au upendeleo asiostahili mtu. Neno hili katika Agano Jipya limejitokeza mara 17. Na katika maana hii, karama na vipawa vyote vya Roho vinahesabiwa kuwa ni neema ya Mungu kwa mwanadamu.

    Nini maana ya neema sasa?
    Neema ni kipawa cha Mungu kwa mwanadamu kinachotolewa bure ambacho huachilia upendeleo na wema wa Mungu kwa mwanadamu. Ni upendeleo wa Mungu kwa mwanadamu asiostahili mtu ambao Mungu anauachilia kwa mwanadamu akionyesha wema wake kutoka katika pendo lake lisilokuwa na sababu wala masharti. Kwa kifupi tunaweza kusema kuwa, neema ni kustahilishwa wema wa Mungu pasipo kustahili kwa sababu ya pendo lake kwa mwanadamu.

    Kustahilishwa pasipo kustahili nini maana yake:
    Tangu mwanadamu alipomtenda Mungu dhambi hakustahili tena kupata wema wa Mungu maishani mwake isipokuwa hukumu kwa sababu ya dhambi zake. Lakini Mungu kwa njia ya Yesu Kristo amemstahilisha mwanadamu mema na wema wake wote si kwa sababu ya matendo yake bali kwa sababu ya Yesu Kristo kufa kwa ajili ya mwanadamu

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Mwanaspoti ni nini?

    • Nini maana ya mwananchi?

    • Katika 1 Timotheo 5:23, kwa nini mvinyo umeruhusiwa?

    • Saikolojia ni nini?

    • Urithi ni nini?

    • Mistari ipi ya Biblia inaelezea maswala ya kodi?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.