(NEC) kirefu chake ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Kirefu cha neno (NEC) ipatikanayo nchini Tanzania ni National Electoral Commission
N=National
E=Electoral
C=Commission
Hii ni tume inayojihusisha na usimamizi wa shughuli zote za uchaguzi nchini Tanzania.