Nawezaje kuweka pesa Mkekabet kwa kutumia TigoPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
– Ingia katika menyu ya TigoPesa *150*01#
– Chagua Lipa bili
– Weka namba ya kampuni 238844
– Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345
– Chagua kiasi unachotaka kuweka
– Weka PIN yako ya TigoPesa halafu Thibitisha
– Utapokea ujumbe mfupi kutoka Tigo-Pesa na Mkekabet kuthibitisha muamala