Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 379
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 4, 20192019-02-04T10:36:45+03:00 2019-02-04T10:36:45+03:00Internet, Simu

Nawezaje kutumia internet bila kifurushi?

Nawezaje kutumia internet bila kifurushi?
  • 1
  • 1,172
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Faustine John

    Faustine John

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 16 Questions
    • 75 Answers
    • 0 Best Answers
    • 248 Points
    View Profile
    Faustine John Advanced
    2020-04-19T08:47:15+03:00Jibu - April 19, 2020 saa 8:47 am

    Ki uhalisia kabisa watu wengi hapa nchini Tanzania wamekuwa wakihangaika Ku enjoy katika mitandao mbalimbali kama vile YouTubeKwa sababu ya kuwa Na kifurushi kisicho kuwa Na Mb (megabytes) za kutosheleza . Lakini Leo utaweza kupata ufumbuzi Wa Tatizo la data Kwa kufuata NJIA hizi hapa chini.
    REQUIREMENTS TO ACCESS FREE INTERNET

    1. Simu ya android; inatakiwa simu ya android ili kuweza Ku access page mbalimbali kwani simu nyingine zote haziwezi kufanya kazi Kwa kutumia mfumo huu nitakao enda kukupa.

    2. Chrome/browser yeyote ;ili kuweza kufungua Mafaili mbalimbali yaliyo katika mfumo Wa internet inapaswa uwe Na browser ya aina yeyote ile japokuwa chrome/browser inayokuja Nabsimu ndo huwa inakuwa nzuri zaidi kwani Kuna browser zingine Haziwezi Ku access website hii Bila ya kutumia data.

    laini ya Vodacom; laini hii inatakiwa isiwe Na salio lolote lile yaani iwe salio la kawaida lisome 0.00 Na Mb isome 0.00 .hapo ndipo itaweza Ku access internet bure. 

    FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUPATA INTERNET YA BURE

    • Ingia katika browser yako.

    • Andika URL ya proxysite.com Kisha bofya kitufe cha search.

    Baada ya Ku search itafunguka Kama hivi (pichani).

    ukitizama Kwa umakini baada ya Hilo tangazo la tigo utakuwa unaona platforms mbalimbali. Na hizo zilizo orodheshwa Ndio unaweza kuzipata bure kabisa

    source 

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Nawezaje kupata tik Twitter?

    • Nawezaje kuzipata sms za mke wangu katika simu yangu ambazo zinatumwa na watu wake?

    • Unaizungumziaje Bluehost katika kutengeneza website?

    • Kuna hosting za bure?

    • Hosting bora zaidi ni ipi?

    • Waptrick ni nini?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.