Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In

Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Ask a Question
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Questions»Q 33491
In Process
Adv
Anonymous
Asked: October 27, 20192019-10-27T12:14:00+03:00 2019-10-27T12:14:00+03:00In: Forex

Nawezaje kutumia forex kuingiza hela?

Nawezaje kutumia forex kuingiza hela?
  • 1
  • 295
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Answer
  • Report
Adv

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. Mugabe Abraham

    Mugabe Abraham

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 4 Answers
    • 0 Best Answers
    • 31 Points
    View Profile
    Mugabe Abraham New
    2019-12-14T09:42:13+03:00Added an answer on December 14, 2019 at 9:42 am

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange  (ubadilishaji wa fedha za kigeni). Zimechukuliwa herufi tatu za mwanzo kwenye neno FOREIGN  na herufi mbili za mwanzo kwenye neno EXCHANGE  (FOREX).

    Forex ni soko kubwa na ambalo linakua kwa kasi duniani. Mzunguko wake wa siku ni zaidi ya dola trillion tano ($5 Trillion) za kimarekani ambayo ni kiasi kikubwa kuliko soko lolote duniani,mfano wa masoko makubwa duniani ni NEW YORK STOCK MARKET(MAREKANI), TOKYO(JAPANI), FRANKFURT MARKET(UJERUMANI)  , SYDNEY MARKET(AUSTRALIA) , LONDON MARKET(UINGEREZA) NA HONG KONG MARKET(CHINA). Wahusika kwenye soko hili ni benki kuu na mabenki ya kibiashara, Corporations, taasisi za uwekezaji, Hedge funds na watu wa kawaida kama wewe.

    Soko ni sehemu ambalo bidhaa zinauzwa. Pia hata kwenye Forex kuna bidhaa kama vile sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua au ukauza Euro(EUR) dhidi ya dolla(USD) ya marekani na ukapata faida. Yako mambo mengine mengi kwenye soko letu hili la FOREX yenye faida kama utaweza kuyafatilia na kuyajua kwa undani

    • 1
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Browse

Adv

Sidebar

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.