Nawezaje kutuma picha Instagram?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Ukishakua na app ya Instagram katika simu yako na ukiwa umeshajiunga, unabonyeza alama ya kujumlisha iliyo kwa chini kidogo kwenye app ya Instagram. Baada ya hapo unapelekwa kwenye sehemu ya kuchagua picha alafu unachagua unabonyeza next alafu post…. Umemaliza