Nawezaje kutoa taarifa za rushwa kwa simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Unaweza kutoa taarifa za rushwa kwa simu namba 113;
SMS 113 au
*113#.
HUDUMA HII NI BURE.
JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’