Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 490
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 6, 20192019-02-06T05:41:16+03:00 2019-02-06T05:41:16+03:00Internet, Kompyuta

Nawezaje kutengeneza website?

Nawezaje kutengeneza website?
  • 2
  • 1,633
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Majibu 2

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 82 Answers
    • 0 Best Answers
    • 369 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    2019-02-08T10:32:48+03:00Jibu - February 8, 2019 saa 10:32 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Kuna njia nyingi sana za kutengeneza website. Nitazigawanya njia hizo katika makundi kulingana na uwezo wa mtu na aina ya website unayotaka kutengeneza.

    1.Kama hujui chochote kuhusu coding (lugha zinazotumika kutengeneza website na mifumo mingine) na unataka kutengeneza website ya kawaida mfano blog. Kwa kundi hili unaweza ukatumia blogger.com itakayokuwezesha kutengeneza blog bila kuwa na ujuzi wowote wa ku-code japo kama unajua hata html kidogo inaweza kuwa faida zaidi kwako. Blogger itakuwezesha kutengeneza website au blog yenye jina linaloishia na blogspot.com bure kabisa. Unaweza pia kutumia jina unalotaka ila utahitajika kununua jina hilo.

    2.Kama ujuzi wako ni wa kati(yani unajua coding kidogo au ndo unajifunza) na unataka kutengeneza website yenye uwezo uliopanuka kidogo ukilinganisha na namba moja hapo juu. Unaweza kutumia cms(content management system) kutengeneza website yako mfano ni wordpress na joomla. Hapa utahitajika kuwa na domain name(bure au kwa kununua) na host yani server itakayotumika kuifanya website yako iwe hewani(apa pia kuna za bure na kulipia).

    3.Kama unajua coding itakayokuwezesha kutengeneza website. hapa unahitajika kujua angalau html na css ili kutengeneza website ya kawaida sana. Ila ili kuongeza uwezo wa kufanya kazi zaidi ni vyema mtu akajua html css javascript php/python na nyingine nyingi kulingana na mahitaji ya mtu.

    Mwisho unaweza pia ukampa mtu kazi au kampuni ili uweze kutengenezewa website yako kitaalamu zaidi.

    Pata ushauri kuhusu kuanzisha au kuendeleza website/blog yako kupitia ChuiTec

    • 3
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Sunday Fred
    2020-01-21T12:44:18+03:00Jibu - January 21, 2020 saa 12:44 pm

    Leo nitakuonesha njia moja ya kutengeneza website inayoonekana professional bila kutoa jasho jingi.

    Kwanza kabisa kabla ya yote inabidi uwe na jina la website ama tovuti unayotaka kutengeneza. Jina hilo linajulikana kama “domain name”. Kuhusu jina linakuja baada ya kuwa ushaamua unataka utengeneze website kwa ajili ya kitu gani. Mfano kama unataka kutengeneza website ya habari unaweza ukachagua jina la website yako liwe habarikuu.com.

    Unachotakiwa kujua kwanza ni kuhakikisha je jina hilo linapatikana (kama kuna mtu mwingine tayari analitumia maana yake ni kwamba wewe hautaweza kulitumia tena) Ingia Hapa alafu angalia jina unalohitaji kama lipo.

    Kama lipo,  shusha pumzi kwanza alafu endelea kusoma. Kama halipo fikiria jina lingine unalohitaji kutumia na ukilipata rudia hatua hiyo. Kwa kawaida domain name unakuwa unalipia kwa mwaka.

    Ukifanikisha hayo hapo juu sasa utakuwa unahitaji “host” hii ni sehemu ambayo mafaili na kila kitu kinachopatikana katika website yako kitakuwa kinahifadhiwa. Ukifanikiwa kuchagua host bora utapata njia nyingi za kuifanya website yako iwe hewani, mojawapo ikiwa ni kutumia wordpress ambayo kwa clicks chache tu website yako itakuwa hewani.

    Kwa mimi napendekeza uchague Hosting inayoitwa Fastcomet. Kwa nini kwa sababu server zao zipo karibu na nchi yetu, unaweza kuwasiliana nao muda wowote ukipata tatizo. Pesa yako itarudishwa kama hautaridhika na huduma(hii ni ndani ya siku 45 tangu ulipie)

    Kama unapendelea hosting ya ndani (namaanisha kutoka Tanzania) tumia Kilihost. Wana uzoefu na huduma zao ni bora katika mambo ya hosting.

    Kwa hiyo ukishanunua domain name, na ukalipia na host sasa kilichobaki ni kuiweka website yako online. Ndani ya host kuna sehemu inaitwa c panel, Hapa utaona sehemu imeandikwa Softaculous Installer na chini yake utaona WordPress. Chagua WordPress alafu fuata maelekezo ya kuinstall.

    Kuhusu kutumia wordpress unaweza tu kuanza kwa kuangalia na kama utaona huelewi kitu we ingia tu google then saerch namna ya kufanya hicho kitu alafu utapata majibu yako.

    Siku nyingine tutaongelea kuhusu namna ya kutumia WordPress kutengeneza website.

     

    • 2
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Nawezaje kupata tik Twitter?

    • Unaizungumziaje Bluehost katika kutengeneza website?

    • Kuna hosting za bure?

    • Hosting bora zaidi ni ipi?

    • Waptrick ni nini?

    • Yinga Media ni nini?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.