Nawezaje kutengeneza website kwa kutumia WordPress?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
ChuiTec
WordPress ni njia inayokuwezesha kutengeneza website ya aina yoyote bila kuzingatia uwezo au ujuzi ulionao.
Ili uweze kutengeneza website yako unapaswa kufahamu haya. Kwanza wordpress ni self hosted (wordpress.com ni kitu kingine, hapa nazungumzia wordpress.org). Maana yake ni kwamba lazima uwe na server kwa ajili ya kuhost website yako. Utalipia kwa mwezi au kwa mwaka ku host. Angalia kuhusu hosting za bei nafuu hapa
Ukishafanikiwa kupata hosting. Utapata feature ya kuinstall wordpress kwa clicks chache tu(ni rahisi sana). Ukimaliza ku install utakua na option ya kuchagua theme au template katika list ya maelfu ya templates ambazo nyingine ni free na nyingine ni za kulipia.
Kama bado unahisi kuchanganyikiwa, bonyeza hapa kupata ushauri.