Nawezaje kutengeneza website kwa kutumia coding?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
ChuiTec
Unaweza kutengeneza website kwa kutumia coding, ila ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
Lazima uwe unajua lugha(programming language) inayoweza kutumika. Kwa website ya kawaida isiyohitaji mambo mengi sana unahitaji kufahamu HTML na CSS.
Kwa website advanced inabidi ufahamu HTML/CSS na lugha nyingine kama JavaScript, PHP au Python.
Licha ya kufahamu hayo yote unapaswa kuiweka website yako hewani ili watu waweze kuitembelea, hapa utahitaji sehemu ya ku host mafaili ya website yako. Utahitaji hosting pamoja na domain name. Domain name ni jina la website yako mfano mojasky.com
Domain name na hosting hupatikana kwa kulipia. Kwa kampuni za ubora na zilizo na unafuu katika malipo tembelea link zifuatazo
Domain Names
Kampuni za Hosting