Nawezaje kutengeneza connections mitandaoni?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
1sky
Unataka kukutana na watu ambao mnaweza kuwa na connection baadae? Unataka kutumia mtandao kwa faida ili kukutana na watu muhimu mnaoweza kuwa mna shea vitu mnavyovipenda au mnavyovifuatilia?
Unaweza kukutana na watu muhimu katika tovuti ya MojaSky. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika search na kutafuta topic unayoipenda au unayotafuta watu wa ku connect nao. Angalia majibu ya maswali hayo kisha fuata profile ya mtu uliyependezwa na jibu lake.
Au unaweza kutangulia kwa kujibu maswali katika field unayoifuatilia alafu watu sahihi watakutafuta baada ya kuona majibu yako yenye mashiko.
kuuliza swali https://mojasky.com/add-question/
kujibu maswali anzia hapa https://mojasky.com/questions/
kutafuta topics, maswali na majibu tumia https://mojasky.com/search
Unaweza pia kuangalia watumiaji wengine hapa https://mojasky.com/users/