Nawezaje kusikiliza kwa makini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Jinsi ya kusikiliza vyema:
1. Jitahidi kumakinika kwa msemaji. Onyesha kwa uso, mwili na mkao wako kuwa unamsikiliza anayesema. Ni wazi kuwa mtu anyeangalia wapita njia wakati anajua yupo anayesema naye, hana sifa ya usikilizaji mzuri.
2. Hakikisha kuwa akili yako yote iko katika kile kinachosemwa. Usiache akili yako ikawa inapita pita kwingine wakati kuna binadamu anasema na wewe. Hiyo si haki.
3. Usiingilie sentensi zake wakati anasema. e
4. Hakikisha unamaliza kusikiliza kabla hujaanza kusema.
5. Sikiliza mawazo makuu yanayojitokeza katika maongezi.
6. Uliza usikoelewa. Kama huna hakika kwamba umeelewa kilichosemwa, uliza.
7. Toa mrejesho.
soma kwa urefu zaidi Bwaya blog