Nawezaje kusajili ugunduzi wangu ili watu wengine wasiutumie bure?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kama umegundua kitu ambacho ni kipya kabisa unapaswa kupata itu kinachoitwa ‘patent’, kwa kiswahili ni hataza
Kupitia tovuti kuu ya serikali wameandika hivi
Hataza ni haki ya pekee inayotolewa kwa uvumbuzi. Ili kupewa haki hii ya pekee au ulinzi, ni lazima kuwa na uvumbuzi. Uvumbuzi ni ufumbuzi kwa tatizo la kiufundi. Mvumbuzi analindwa dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa ya uvumbuzi wake iwapo uvumbuzi huo umesajiliwa na umepewa hataza. Ulinzi unatolewa kwa kipindi maalumu. Kipindi ni cha miaka 10 kinachoweza kuongezwa kwa vipindi viwili vya miaka 5 baada mwenye hataza kuomba kwa msajili.
Masharti:
Taratibu: