Nawezaje kupiga simu kwa kutumia laptop?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kama unatumia PC ya Windows kuna software kwenye toleo jipya la Windows10 inaitwa “Your Phone App” ukiifungua hii inakupa maelekezo ya namna ya kuiunganisha na simu yako.
Baada ya hapo unaweza kupiga simu kupitia laptop yako iliyounganishwa na simu yako