Nawezaje kupata pesa YouTube bila viewers?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Haiwezekani, Ili upate pesa kupitia Youtube ni lazima uwe na video na video ziwe zina viewers wa kutosha maana ake ni kwamba hao viewers ndio wanaotakiwa waangalie matangazo ili uweze kulipwa