Nawezaje kupata namba ya kitambulisho cha taifa NIDA?
Pinned
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
nilijiandikisha mwez umepita but namba niko mbali naweza pata kwa sim
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppSalim Jumbe
Kupata namba ya kitambulisho cha taifa nenda katika ofisi ya NIDA au unaweza kupata namba ya NIDA kwa njia ya SMS kupitia simu ya mkononi
Kupata huduma hiyo
Kumbuka; ni kwa watumiaji wa Airtel na Vodacom
Unachotakiwa kuzingatia pia
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama Appmi nimejiandikisha na nimejisajiri tarehe 28 mwezi wa 11 ila mpaka Sasa kila nikijaribu kuomba namba yangu hela nakatwa na majibu yanakuja taarifa zang hazijapatikana Sasa nashindwa kuelewa na wakati nilijiandikisha
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppCalvin Mlay
Kama taarifa zako hazipo usijaribu tena. Jaribu kuangalia katika link hii -> LINK YA KUPATA NAMBA weka taarifa zako kwa usahihi. Kama ikishindikana hapa, suluhisho pekee ni kwenda ofisi za NIDA zilizopo karibu.
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNaomba namba ya kitambulisho
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppCalvin Mlay
Ukiacha njia ile ya kutumia *152*00# katika simu yako, unaweza pia kupata namba katika mtandao kwa kutumia hatua hizi.
Kuna link mwisho wa haya maelezo utaibonyeza kisha utatakiwa kujaza jina lako la kwanza na la ukoo. Kisha utajaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa.
Na mwisho utajaza jina la kwanza la mama na jina la mwisho la mama kama ulivyoandika katika fomu ya NIDA wakati unajaza.
HAKIKISHA haukosei hata herufi moja wakati unajaza taarifa hizo. Ukikosea hata herufi moja tu hautapata namba yako.
LINK YA KUPATA NAMBA