Nawezaje kupata leseni ya kuchimba madini Tanzania?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Habari?
Naomba kujua namna gani naweza kupata leseni ya kuchimba madini?
Asante
0713337368
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaRamson Mnyaka
Tanzania imebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya rasilimali ya madini, kama vile dhahabu, almasi, vito , nikeli, urani, makaa ya mawe, jasi, chumvi na kadhalika. Hazina yote ya madini inamilikiwa na Serikali, na hivyo shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini huweza kufanywa na watu au kampuni kwa kutumia leseni zinazotolewa na Wizara ya nishati na Madini.
Madaraja ya leseni ya uchimbaji madini yako kama ifuatavyo;
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUOMBA LESENI
Kabla ya kujaza fomu ya kuomba leseni ni muhimu kufanya maandalizi ya vitu muhimu vifuatavyo;
kwa maombi maalum (official search). Aidha, wateja wanaweza kununua ramani ya leseni ya madini (shapefile)
inayopatikana kwa kuwasilisha ombi Makao Makuu ya Wizara. Ramani ya jumla inapatikana kwenye tovuti ifuatayo: http://www.flexicadastre.com/tanzania
ya kupata vibali toka mamlaka husika katika maeneo wanayotaka kuomba leseni ili kuepuka usumbufu haitakiwi kuweka mipaka au kutengeneza miundombinu kabla hujapata leseni na pia kabla hujapata ridhaa ya wenye kumiliki eneo unaloomba leseni
chanzo; tovuti kuu ya serikali