Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 35386
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 27, 20202020-02-27T07:15:16+03:00 2020-02-27T07:15:16+03:00

Nawezaje kupata leseni ya biashara?

Nawezaje kupata leseni ya biashara?
  • 1
  • 179
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 430 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2020-02-27T07:21:22+03:00Jibu - February 27, 2020 saa 7:21 am

    Leseni ya biashara ni kibali maalum cha Serikali kinachotolewa kwa mfanyabiashara yeyote anapotaka kufanya biashara hapa nchini. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 – Kifungu cha 3(a) kimeweka bayana kuwa, Kibali hicho maalumu kinaitwa Leseni ya Biashara. Kwa hiyo basi, kufanya biashara yoyote bila kuwa na kibali hiki ni kosa la jinai.

    Ili Mwombaji Apate Leseni ya Biashara anapaswa kuambatisha Nyaraka Zifuatazo:-

    • Nakala ya hati ya kuandikisha jina la Biashara au Kampuni (Photocopy of Certificate of Incorporation or Registration & Extract);
    • “Memorandum, and Articles of Association” ambazo zitaonyesha kuwa Kampuni imeruhusiwa kisheria kufanya biashara inayoombwa, pamoja  na majina ya wamiliki wa kampuni, hisa zao na utaifa wao;
    • Uthibitisho wa uraia kwa kuwasilisha nakala ya hati ya kusafiri nje ya nchi ya Tanzania au hati ya kusafiria katika nchi za Afrika Mashariki, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo (Affidavit) kuonesha kuwa ni Mtanzania, na kama mgeni alete hati ya kuishi nchini daraja-A (Residence Permit Class A).
    • Endapo wenye hisa wote wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane na hati ya kiwakili (Power of Attorney) ya kumpa mamlaka raia wa Tanzania, raia wa kigeni mwenye hati ya kuishi nchini daraja “A” au hati ya kufanya kazi nchini daraja “B” zinazoainisha kuwa anasimamia kampuni husika.
    • Nakala ya ushahidi wa maandishi kuwa ana mahali pa kufanyia biashara (lease agreement, Title deed, Certificate of occupancy, e.t.c);
    • Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi (Tax Payer Identification Number – TIN).
    • Hati ya Kulipa Kodi (Tax Clearance Certificate).

     

    Hatua za kufuata ili kupata Leseni:

    • Jaza fomu ya maombi  ya Leseni (TFN 211 ya 2004)
    • Ambatisha nyaraka kama ilivyoainishwa hapo juu kwa ajili ya ukaguzi (assessment)  na kujulishwa kiasi cha ada cha kulipia;
    • Kwa biashara za Kundi A, malipo yafanyike kupitia Benki ya CRDB mahali popote kwa kutumia Akaunti Namba 0150413356300; Jina Revenue Collection Trading License – MIT;
    • Wasilisha “pay in slip” ya Benki ili kupata risiti halali ya Serikali;

    imeandikwa hivyo katika tovuti kuu ya serikali

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.