Nawezaje kupata fremu za picha(picture frames)kwenye computer? yaani nikitaka kuosha picha niiwekee fremu itoke na maua yake?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Njia ninayoifahamu ya kuweka frame kwenye picha ni kwa kutumia software inaitwa Adobe Photoshop(nategemea kama utakuwa nayo kama unajihusisha na maswala ya picha)
Inabidi ujifunze kwanza jinsi ya kuitumia, kwa sababu ni ngumu kuitumia kama hauifahamu.
Njia nyingine unaweza ukatumia free tools online mfano Canva.