Nawezaje kupata free internet?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Ki uhalisia kabisa watu wengi hapa nchini Tanzania wamekuwa wakihangaika Ku enjoy katika mitandao mbalimbali kama vile YouTubeKwa sababu ya kuwa Na kifurushi kisicho kuwa Na Mb (megabytes) za kutosheleza . Lakini Leo utaweza kupata ufumbuzi Wa Tatizo la data Kwa kufuata NJIA hizi hapa chini.
REQUIREMENTS TO ACCESS FREE INTERNET
laini ya Vodacom; laini hii inatakiwa isiwe Na salio lolote lile yaani iwe salio la kawaida lisome 0.00 Na Mb isome 0.00 .hapo ndipo itaweza Ku access internet bure.
FUATA HATUA HIZI ILI KUWEZA KUPATA INTERNET YA BURE
Baada ya Ku search itafunguka Kama hivi (pichani).
ukitizama Kwa umakini baada ya Hilo tangazo la tigo utakuwa unaona platforms mbalimbali. Na hizo zilizo orodheshwa Ndio unaweza kuzipata bure kabisa
source