Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 32736
In Process
Anonymous
Asked: July 24, 20192019-07-24T06:08:59+03:00 2019-07-24T06:08:59+03:00Afya, Kazi/Ajira

Nawezaje kupata fao la mstaafu NHIF?

Nawezaje kupata fao la mstaafu NHIF?
  • 1
  • 518
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 132 Answers
    • 0 Best Answers
    • 485 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2021-04-09T20:37:52+03:00Jibu - April 9, 2021 saa 8:37 pm

    Fao la wastaafu linawahusu wanachama wastaafu wa NHIF waliojiunga kupitia ajira zao.Ili kupata fao la wastaafu mchangiaji anapaswa awe amefikisha umri wa miaka 55 ua 60 na awe amechangia Mfuko kwa muda wa miezi 120 (miaka kumi). Endapo amechangia pungufu ya hapo atatakiwa kulipa kiasi cha fedha kulingana na hesabu inyohusisha miezi iliyopungua.

    Ili kujisajili kama mstaafu atatakiwa kurudisha kadi yake pamoja na za wategemezi wake wote. Atajaza fomu ya wastaafu na kuambatanisha barua yake ya ustaafu. Atabandika picha yake pamoja na ya mwenza na kisha wataingizwa katika mfumo wa fao la wastaafu.

    Kwa kila kadi ya mtegemezi iliyopotea atatakiwa kulipa gharama ya Shilingi 20,000.

    kutoka tovuti ya NHIF

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Masharti ya kuanzisha duka la dawa yakoje?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kupenda na kufurahia kazi yangu?

      • Jibu 1
    • Mambo gani ya kufanya wakati wa kutafuta kazi?

      • Jibu 1
    • Unaweza kutaja madhara ya pombe?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kufanya vizuri katika maswali ya interview ya kazi?

      • Jibu 1
    • Kuna faida gani katika kujitolea?

      • Jibu 1
    • Mambo gani ya kuzingatia katika barua ya kuomba kazi?

      • Jibu 1
    • Mambo gani ya kuzingatia katika kuomba kazi serikalini kwa njia ya mtandao?

      • Jibu 1
    • Utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa kwa watoto uko vipi?

      • Jibu 1
    • Nifanye nini ili ninenepe?

      • Majibu 0

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.