Nawezaje kupata cheti changu cha kuzaliwa ikiwa umri wangu umeenda?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Unaweza kupata cheti chako cha kuzaliwa hata kama miaka yako imeenda sana.
Unachotakiwa kufanya ni kutembelea ofisi za RITA zilizopo mkoani mwako na kuomba kujaza fomu kwa ajili ya kupata cheti chako au unaweza kujaza Fomu ya B3.