Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 34427
In Process
Adv
Anonymous
Asked: January 9, 20202020-01-09T06:17:48+03:00 2020-01-09T06:17:48+03:00Cheti cha Kuzaliwa

Nawezaje kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania kama nipo nje ya nchi?

Nawezaje kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania kama nipo nje ya nchi?
  • 1
  • 249
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2020-01-09T06:20:02+03:00Jibu - January 9, 2020 saa 6:20 am

    Cheti cha kuzaliwa ni waraka muhimu na halisi unaoandikwa kwenye rejesta ya vizazi ya nchi alikozaliwa mtoto. Cheti hicho kina taarifa kama vile mahali, mwaka, mwezi, siku, tarehe na wakati alipozaliwa motto. Waraka huu ni muhimu na wenye manufaa ni utambulisho wa kujua utaifa na umri wa mtu.

    Masharti:

    • Picha tatu za pasipoti
    • Uwe na angalau kimojawapo kati ya hivi: kadi ya kliniki, cheti cha ubatizo, cheti cha kumaliza shule (msingi/sekondari)

    Taratibu:

    • Peleka maombi kupitia barua pepe ya RITA (info@rita.go.tz)
    • Jaza Fomu na kuwasilisha kupitia barua pepe
    • Ambatisha angalau kimojawapo kati ya hivi: kadi ya kliniki, cheti cha ubatizo, cheti cha kumaliza shule (Msing/ Sekondari)
    • Pokea barua pepe kutoka RITA, pamoja na kiambatisho cha Fomu ya Kiapo, halafu ambatisha na nakala tatu za picha za pasipoti
    • Skani fomu ya kiapo na itume kupitia barua pepe
    • Pokea barua pepe kutoka RITA, inayoruhusu kuendelea na mchakato wa malipo
    • Lipa cheti cha mtoto kilichoelezwa chini ya umri wa miaka 10 – dola za Marekani 14, zaidi ya miaka 10 na kuendelea , Dola za Marekani 20. Na kupitisha Hundi – Dola za Marekani 20.
    • Malipo ni lazima yafanywe kupitia DHL-EMS n.k

    Chanzo: Tovuti ya serikali

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Nawezaje kuomba cheti cha kuzaliwa tena kama kimepotea?

    • Nawezaje kupata cheti changu cha kuzaliwa ikiwa umri wangu umeenda?

    • Cheti changu cha kuzaliwa kina majina tofauti na vyeti vingine, nifanyeje?

    • Kama mtanzania amezaliwa akiwa nje ya nchi, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania?

    • Utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa kwa watoto uko vipi?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.