Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 35123
In Process
Adv
Anonymous
Asked: January 30, 20202020-01-30T22:05:06+03:00 2020-01-30T22:05:06+03:00M Pawa, M Pesa

Nawezaje kuomba mkopo M Pawa?

Nawezaje kuomba mkopo M Pawa?
  • 1
  • 333
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2020-01-30T22:17:46+03:00Jibu - January 30, 2020 saa 10:17 pm

    Piga *150*00#

    Chagua ‘M-Pawa’

    Chagua ‘Mkopo’

    Chagua ‘Omba Mkopo’

    Weka Kiasi

    Ingiza PIN

    Thibitisha maombi ya mkopo kwa kubonyeza ok. Utapokea ujumbe wa uthibitisho kuwa M-Pawa inafanyia kazi ombi la mkopo.

    Mteja atapokea SMS kumfahamisha kuwa ombi limefanikiwa: Ombi lako la mkopo wa M-Pawa limekubaliwa. Salio jipya la M-Pesa ni Tsh XXXX”.

    Utapokea SMS nyingine kama ombi halikufanikiwa. Ujumbe huo utaeleza sababu za kukataliwa kwa ombi lako.

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Nikiweka akiba M Pawa nitapata riba kiasi gani?

    • Nisipolipa mkopo wangu wa M Pawa ndani ya siku 30, Vodacom watanifanya nini?

    • Inawezekana kutoa pesa M Pesa kwa kutumia ATM za CRDB?

    • Nikikopa M Pawa natakiwa kulipa baada ya muda gani?

    • Riba ya kukopa M Pawa ni asilimia ngapi?

    • M Pawa ni nini?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.