Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 34758
In Process
Anonymous
Asked: January 21, 20202020-01-21T12:28:33+03:00 2020-01-21T12:28:33+03:00Blog, Domain Names

Nawezaje kununua domain name kwa ajili ya blog yangu?

Nawezaje kununua domain name kwa ajili ya blog yangu?
  • 1
  • 320
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. ChuiTec

    ChuiTec

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 2 Questions
    • 13 Answers
    • 0 Best Answers
    • 46 Points
    View Profile
    ChuiTec New
    2020-04-25T09:52:42+03:00Jibu - April 25, 2020 saa 9:52 am

    Kununua domain name ni rahisi tu. Kuna vitu unapaswa kuwa navyo kabla ya kununua.

    Kitu cha kwanza ni pesa ya kulipia kwa mwaka wa kwanza (kwa makadirio ni Tsh 30,000). Kingine ni njia ya kulipia, hapa unaweza tumia Master au Visa card au Njia za malipo za mtandao kama TigoPesa na MPesa.

    Kingine unachotakiwa kufahamu ni jina yani domain name unayotaka kama lipo au la. Mfano unaweza kuwa unataka mojasky.com na ukakuta kuwa jina hilo limeshachukuliwa hivyo inatakiwa kuchagua jina jipya ambalo bado halijatumika.

    Ukiwa tayari katika hayo hapo juu. Unaweza kufanya yafuatayo. Ingia Kilihost  alafu bonyeza kwenye Choose Another Category alafu chagua Register Domain. Hapo utaweka jina unalotaka kununua, utachagua kama unahitaji .com .net au .co.tz. Utamalizia kwa kufata hatua zilizobaki kulipia jina unalohitaji.

    Kufahamu sehemu nyingine za kupata domain name tembelea ChuiTec

     

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Nawezaje ku design blog inayolipa?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kuunda blog?

      • Jibu 1

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.