Nawezaje kulipia king’amuzi cha Startimes kwa njia ya simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ili kulipia startimes kwa njia ya simu, fuata hatua zifuatazo
Ingia katika menyu ya pesa ya mtandao wako mfano *150*00# kwa Mpesa na *150*01# kwa Tigopesa
Chagua Lipa Bili
Chagua kwenye “Ingiza namba ya kampuni”
Kisha utaingiza namba ya kampuni 700100
Ingiza namba ya kumbukumbu(hii ni ile namba ya kadi yako ya king’amuzi cha startimes)
Weka kiasi unachotaka kulipia
Thibitisha malipo kwa kuweka namba ya siri(mitandao mingine itakutaka kubonyeza moja kuthibitisha)