Nawezaje kukoleza au kulaza maneno Whatsapp?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Wale wapenzi wa kuchat kwenye Whatsapp tayari washakutana na message ambazo zina maneno ya bold(yaliyokolezwa), italic(yaliyolala),monospace na Strikethrough(yaliyokatwa na mstari). Kwenye picha juu kuna baazi ya maneno yanaonekana yana bold
Leo ntaonyesha ujanja kidogo ambao watu wengi bado hatuujui..Cha kwanza ili uweze kufanya yote kirahisi ningekushauri kwanza download Gboard Keyboardkutoka kwenye playstore. Kama huna hiyo Gboard Keyboard tembelea link chini ili uweze kuipakua
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.inputmethod.latin
Sasa kama tayari umesha install Gboard Keyboard na ndio umeifanya iwe ni keyboard inayotumika. Kama bado hujui jinsi ya kufanya hivyo basi tembelea link chini
https://phonetricktz.blogspot.com/2016/12/muonekano-mpya-wa-google-keyboard-gboard.html?m=1
Sasa mfano unataka kuandika maneno yenye Bold. Fungua Whatsapp yako kisha andika ujumbe wako halafu kabla haujautuma kwa mtu select yale maneno ambayo unataka yawe na bold mfano kwenye picha chini utaona mimi nimeselect maneno yanasomema hivi See, I have told you beforehand. Matthew 24:21-22, 25 NKJV






Sasa kama unataka hayo maneno yawe na bold, baada ya kuselect maneno yako bonyeza ile alama ambayo ina mistari mitatu kama inavyo onekana kwenye picha chini
Baada ya kubonyeza hiyo alama utaona kuna vipengele vifwatavyo.. Bold
Italic
Monospace
Strikethrough
Kama inavyo onekana kwenye picha chini.
Mfano ukichagua bold maneno yataonekana kama ifwatavyo
Mfano umechagua Italic< basi maneno yataonekana kama ifwatavyo
Mfano umechagua Strikethrough basi utapata muonekano kama picha chini
kutoka phonetricktz