Nawezaje kukata bima ya NHIF?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Ili kujiunga na NHIF inachotakiwa kufanya ni kujaza fomu na kuweka viambatanisho kulingana na aina ya uanachama unayotaka kujisajili. Fomu zinapatikana kwenye ofisi za NHIF ua kwenye tovuti yao http://nhif.or.tz.
Unashauriwa kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja simu namba 0800 110063 ili kupata maelekezo zaidi.