Nawezaje kujua password za WIFI ambayo niliwahi kuitumia?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Fungua Command Prompt kama Administrator, bonyeza Windows + X kufanya hivyo
Hatua inayofuata ni sisi kutambua profile zote za wlan zilizowahi kuhifadhiwa katika kompyuta zetu. Andika komandi ifuatayo katika cmd kisha bonyeza enter: netsh wlan show profile
Komandi hiyo itakuonyesha profile zote zilizowahi kuhifadhiwa katika kompyuta yako.
Baada ya kuona profile zote za WLAN ulizowahi kuunganishwa nazo, sasa ni wakati wa kuangalia password kwa kila pofile kwa kuandika komandi: netsh wlan show profile WiFi-name key=clear
Badilisha sehemu ya WiFi-name na weka jina la wifiunayotaka kuona password yake
Katika sehemu ya security settings, katika kipengere cha ‘key content’ utaona password za wifi husika.
kutoka designerbby blog