Nawezaje kujiunga M Pesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Mara baada ya mteja kununua SIM kadi ya Vodacom na kuisajili, moja kwa moja husajiliwa kwenye M-Pesa. Mteja ambaye hajasajiliwa anaweza kutembelea duka la Vodacom pamoja na Kitambulisho sahihi cha
Kukamilisha mchakato wa usajili wa elektroniki. Mara baada ya usajili mteja aliyesajiliwa atapata namba kianzio, ataitajika kuwezesha akaunti ya M-Pesa kwa kubadili namba kianzio PIN na kuweka PIN aliyochagua na atakayokumbuka.