Nawezaje kuingia UDOM SR?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kuingia UDOM SR tumia link hii sr.udom.ac.tz
Kumbuka, Username ni namba yako ya usajili(Registration number) mfano T/UDOM/…. na Password ni jina lako ukoo kwa herufi kubwa.
Na unashauriwa kubadilisha password zako punde tu utakapofanikiwa ku-login kwa mara ya kwanza