Nawezaje kuhamisha vitu kutoka kwenye simu ya android kwenda kwenye PC ya apple?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUHAMISHA VITU KUTOKA KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID KWENDA KWENYE KOMPYUTA YAKO YA APPLE
#Kwanza tukubali sio kila mwenye kompyuta ya apple anatumia simu ya iPhone.
Zifuatazo ni njia rahisi za kuhamisha vitu vyako kutoka kwenye Android kwenda kwenye kompyuta ya apple.
HAKIKISHA SIMU YAKO HAIJAWEKWA LOCK WAKATI UNAUNGANISHA KWENYE KOMPYUTA YAKO.