Nawezaje kufuta history ya computer?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Ili kufuta history katika computer yaka fuatilaia steps zifuatazo;
1.Ingia Google chrome
2.Ingia katika history ya Google Chrome
3.Bonyeza katika Dots zilizo fuatana(vidot vitatu)
4.Kisha Remove from history