Nawezaje kufuta background kwenye picha?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nataka kufuta
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNataka kufuta wino
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaFaustine John
Hii ni kwa wale wanaotumia simu za android
1. Pakua na install app inayoitwa Background Eraser katika simu yako ya android.
2. Pale tu application inapomaliza kuinstall, ifungue na itakuonyesha machaguo yafuatayo. Chagua Load a Photo.
3. Sasa chagua picha yoyote unayotaka kuondoa background na icrop katika eneo unalotaka litolewe background.
4. Baada ya kucrop picha bonyeza Done
5. Sasa hapo utapewa machaguo matatu ya jinsi ya kuondoa background, auto, manual au eraser.Unashauriwa kuchagua auto huku ukiwa umezoom (kukuza) picha.
6. Baada ya hapo sehemu kubwa ya background itakuwa imetoka, unaweza ukatumia eraserkusafisha baadhi ya maeneo ambayo hayasafishwa vizuri.
7. Baada ya hapo bonyeza Done, alafu chagua smooth level to maximum ili kupata picha yenye mwonekano mzuri.
8. Mwisho kabisa bonyeza Finish, na hapo utakuwa tayari unapicha iliyotolewa background.
post kutoka designerbby blog