Nawezaje kufuta account ya Instagram?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Faustine John
1. Fungua instagram kwenye PC au simu kwa kutumia browser. Huwezi kufuta kwa kupitia App ya Instagram
2. Ingia kwenye akaunti yako ( log in )
3.Bofya kwenye kiungo hiki =>https://www.instagram.com/accounts/remove/request/permanent/
4. Chagua machaguo kwenye ” drop menu ” ya KWANINI UNATAKA KUFUTA AKAUNTI YAKO……
5. Bofya kwenye ” PERMANENTLY DELETE MY ACCOUNT ”
kuendelea kusoma zaidi(kwa picha) nenda HAPA