Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In

Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Ask a Question
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Questions»Q 31239
In Process
Adv
Anonymous
Asked: May 7, 20192019-05-07T16:18:23+03:00 2019-05-07T16:18:23+03:00In: Simu

Nawezaje kufunga tatizo la “unfortunately app has stopped”?

Nawezaje kufunga tatizo la “unfortunately app has stopped”?
  • 1
  • 675
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Answer
  • Report
Adv

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. 1sky

    1sky

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 1 Question
    • 15 Answers
    • 0 Best Answers
    • 22 Points
    View Profile
    1sky New
    2020-09-19T12:33:57+03:00Added an answer on September 19, 2020 at 12:33 pm

    Umewahi kukutana na ujumbe unaosema unfortunately app has stopped?. Najua ni wengi mliokutana na hili tatizo la unfortunately app has stopped katika simu zenu za mkononi[smartphone]. Kwa kufuata njia kama zilivyoelekezwa hapo chini utakua umetibu tatizo hilo la simu.

    Fungua
    SETTINGS>APPLICATION MANAGER>ALL APPS>OPTIONS>RESET APP PREFERENCES. Baada ya kubonyeza kwa kufuata mfululizo ulioonekana hapo juu itatokea kama hivi. Bonyeza reset apps.

    Baada ya kufungua kama ilivyo hapo juu utachagua iyo application iliyokua stopped kwa kuibonyeza itafunguka alafu utabonyeza CLEAR CACHE>CLEAR DATA. Hapo application yako iliyokua inasumbua itakaa vizuri na kurudi kama ilivyokua mwanzo. Baada kubonyeza kama inavyoonekana hapo juu kwa kuanza na clear cache alafu ikifatiwa na clear data itaonekana kama hapo chini kwenye picha. Kisha bonyeza OK.
     

     

    KUMBUKA:Hakuna application itakayofutwa zote zinabaki sawa sawa.

    • 1
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Browse

Adv

Sidebar

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.