Nawezaje kudownload video za YouTube kwenye mac?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Unatakiwa kuwa na application inayoitwa MacX YouTube Downloader.
Bonyeza link hii {LINK} kwa ajili ya kudownload application hiyo. Baada ya kufungua link yako itaonekana kama hapo chini na utabonyeza hapo kwenye free download.

Utasubiri imalize kudownload kisha utafanya instalation kama kawaida[unaweza kuangalia
JINSI YA KU-INSTALL APPLICATION MPYA KWENYE LAPTOP YAKO YA MACBOOK]
Ukimaliza installation utaifungua MacX YouTube Downloader kama kawaida, ikifunguka nenda kafungue na youtube tena, youtube ikifunguka chagua video yoyote unayotaka kudownload kisha copy link/URL ya video hiyo na ufungue MacX YouTube Downloader kisha paste kwa kubonyeza halo kwenye alama ya kabox chekundu,kama inavyoonekana hapo chini.

Kisha bonyeza hapo palipoandikwa paste&analyze, baada ya kubonyeza hapo itakuletea[resolution,size,codec na format] ni chaguo lako wewe unataka aina gani kwa kuweka tiki kwenye sehemu husika na ukimaliza bonyeza OK,tazama hapo chini.

Kisha bonyeza download now. Itaanza kudownload video uliyochagua.

Ikimaliza kudownload itaandika finish na wewe utabonyeza open na utaweza kuiangalia.
MUHIMU;
MacX YouTube Downloader inauwezo mkubwa sana wa kudownload video youtube za aina tofauti kama vile VEVO,Dailymotion, Vimeo,FACEBOOK na zaidi ya kurasa 300 za online video.
original kutoka mojasky
Njia rahisi ya kudownload video za Youtube kwa kutumia laptop yako ya mac