Nawezaje kudownload video za Facebook?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kuna app inapatikana PlayStore inaitwa Video Downloader for Facebook. Unaweza kuitumia kudownload video yoyote unayoitaka Facebook.
Soma maelezo jinsi ya kuitumia Hapa