Nawezaje kudownload video ya Youtube bila kutumia app au software yoyote?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Calvin Mlay
ingia katika browser yako kama kawaida ingia youtube kisha tafuta video unayotaka kuiangalia.
Video ikishafunguka click katika box la address pale juu mfano patakua pameandikwa https://www.youtube.com/uhHkHKhiu…..” >
Badilisha hiyo link kwa kuongeza ss mbili kabla ya neno youtube yaani https://www.ssyoutube.com/uhHkHKhiu… bonyeza enter, kisha itakupeleka sehemu yenye machaguo ya kudownload.
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge Sasakenn
tumia app ya vidmate au tubemate ya sim kwa PC tumia videodownlooadhelper