Nawezaje kudownload video za mawaidha ya kiislamu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Mawaidha ya Kiislamu yapo youtube pia. Tumia app ya youtube kuangalia au tafuta app ya vidmate au tubemate ili uweze kudownload video za youtube. App za vidmate na tubemate hazipo playstore inabidi usachi kwenye google