Nawezaje kudownload TeamViewer
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Ukiingia tu kupitia teamviewer.com kuna optiopn ya kudownload for free hapohapo.
Una download ukimaliza una double click kwenye hilo file, una accept baadhi ya vitu unakua tayari umemaliza.