Nawezaje kudownload series kwenye simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ndio unaweza, ila inategemea na aina ya simu yako. Kama simu yako ni ndogo (yaani simu za tochi) haiwezi ila Kama simu yako ni smartphone and kudownload leo hi kwa kupakua faili linaloitwa VIDMATE. Hili faili haliko play store , nenda Google andika vidmate app download, litakuja faili la vidmate na utapakua na install. Vidmate hupakua video kutoka YouTube, Facebook, Instagram na tweeter. Nazani Kila utapata Kila utakacho.
App hizi nilizokuandalia siku ya leo hazipatikani kupitia soko la Play Store hivyo, nimekuandalia link maalum ambazo utatumia kuweza kupakua app hizi moja kwa moja kupita simu yako ya Android. Nachokuahidi ni kuwa, App hizi zitakupa urahisi sana wa kupata filamu yoyote, tamthilia (series) mbalimbali pamoja na kuwa na uwezo wa kuangalia trailer au hata filamu hizo moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi.
1.TeaTV
TeaTV ni app ya kwanza kwenye list hii app hii intakupa uwezo wa kupakua filamu,
series na hata tamthilia kwa haraka sana. App hii ni rahisi sana kutumia na
inapatikana bure kabisa.
2.The MovieDB
The Movie DB ni app nyingine nzuri sana ya kudownload movie na series, application hii itakupa uwezo wa kuchagua kulingana na mwaka, genre na pia tofauti na app iliyopita, App The Movie DB inayo sehemu ya lamu za katuni hivyo utaweza kudownload lamu za katuni (Animation) kwaajili ya yako au hata watoto wako.
3.Show Box
Show Box ni Application nyingine bora kabisa kwaajili ya kudownload filamu, Application hii itakupa uwezo wa kupakua filamu, na tamthilia moja kwa moja kupitia sim yako ya Android. Kingine kiziri kuhusu App hii ni kuwa itakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali zinazohusiana na filamu mpya na hata zile zinazokuja huku ikikonyesha na Trailer za filamu hizo.
4.PopcornTime
Popcorn time ni app nyingine nzuri sana kwaajili ya kupakua filamu, kupitia App hii utaweza kupata movie mpya kulingana na umaarufu wake. Mbali na movie pia utaweza kudownload series pamoja na animation moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.
5.Terrarium TV
Terrarium tv ni app nyingine nzuri sana kwaajili ya kupakua filamu, app hii nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sasa na kweli imekuwa ikinisaidia sana kupata lamu kwa wakati. App hii inakupa lamu na tamthilia mpya na uzuri ni kuwa kila lamu mpya itakapo kuwa inapatikana kupitia App hiyo basi utatumiwa ujumbe moja kwa moja ili uweze kupakua.
kupata link za app hizo angalia hapa TanzaniaTech