Nawezaje kudownload mawaidha ya Sheikh Nurdin Kishki?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kwa kuwa video nyingi za Sheikh Nurdin Kishki zipo katika mtandao wa YouTube, ni vyema ukajua namna ya kudownload video za hizo.
Ukitaka kudownload video za YouTube katika simu yako download kwanza app inaitwa Tubemate ili iweze kukurahisishia swala la kuchukua video hizo.
Soma hii Jinsi ya kudownload video YouTube