Nawezaje kudownload mawaidha ya Freemason?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kama unataka katika format ya video unaweza tumia youtube kuangalia video hizo na kama unataka kudownload unaweza downlad pia kutokea yotube, angalia hii
Jinsi ya kudownload video youtube
Kama unataka katika mfumo wa audio njia hiyo hiyo inaweza kufanikisha ilo a unalohitaji.
Kwa hiyo hatua ya kwanza ni kuingia youtube na ku search mawaidha ya freemason halafu utafuata hatua za kudownload kama utaipenda hiyo video.