Nawezaje kudownload game haraka?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ili kudownload game kwa haraka inabidi uzingatie vitu viuatavyo
Uwe na internet yenye kasi, hii itategemea mtandao unaotumia au maeneo uliyopo internet ikiwa na speed hen utaweza ku download kwa haraka
Kifaa unachotumia. Kama unatumia simu yenye uwezo wa 3G iyo iko wazi kuwa ili udownload kwa speed zaidi inabidi utumia yenye uwezo zaidi mfano 4G
Idadi ya MB za game unalotaka kudownload. Kuna games zinakuwa na MB nyingi ukilinganisha na nyingine. Sasa hapa unapaswa uangalie MB kabla ya kudownload ili uweze kwenda na speed unayohitaji.
Vitu vingine vidogo vya kuzingatia ni kama simu yako ina kiasi gani cha memory, sehemu unayo downloadia mfano playstore itakua na speed kuliko app nyingine.